PLEASE!!!PLEASE WAPENZI TUCHANGIE ILI MABWENI YA WATOTO WA KIKE YA JENGWE



Wapenzi naomba mjitokeze kwa  pamoja kutembea ili kuweza kuhamasisha kampeni ya kuchangia ili 
mabweni ya watoto wetu wa kike yaweze kujengwa.



MATEMBEZI YA TAANZIA -MLIMANI CITY 

ADI -VIWANJA VYA CHUO KIKUU

SIKU YA - JUMAMOSI

TAREHE - 17 /11/2012