Wadau kama mlivyopendakeza kuwa mngepende kuona kazi niliyofanya mwenyewe!!!
Hii ni moja ya kazi niliyofanya mwenyewe walimwenge wanasema mfano mzuri uwanzia nyumbani kwako.
Mimi sio mshabiki sana wa rangi ya Orange ila nilipenda kuweka hii rangi sababu inamvuto wake.Rangi ya Brown inapendeze kuchanganya na Orange na right Cream ,Inatoka Bomba sana kama mnavyo check huo mchanganyiko ktk picha .Kiukweli hii rangi naikubali, hasa ukiipanga kwenye siting room yako vizuri. wakati wote nyumba yako itaonekana smart.
Dining Room

![]() |
Dining Room
![]() |
![]() |
| Kwenye wall yako unaweza kuweka picha za familia yako kwa kumbukumbu kama mnavyoziona picha hapo juu . |
![]() |
![]() |
| Sehemu ya Jiko muonekano wake. |
![]() |
![]() |
.jpg)

.jpg)

.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)

.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)