Hii ni moja ya kazi yangu ya kudecorate sitting room.


Leo nimependa kuonyesha moja ya kazi niliyofanya ya mtu mwenye maisha ya kawaida kabisa, km wadau mlivyopendekeza kuona kazi za nyumba. Huyu ni  mdau mwenye maisha ya kawaida kabisa alijitahidi kusave pesa kwa ajili ya kupendezesha nyumba yake yeye ni mpezi wa rangi ya papo hivyo nilipenda kufanya kile kitu roho yake inapenda.km picha inavyojielezea hapo chini.

Naomba msisite kunitumia email kwa maswali na ushauri maana kila kitu kinawezeka kwa budget yako ndogo na nyumba itaonekana nadhifu na yenye kuvutia machoni.
hope wote mtakubaliana na mimi kuwa mtu ukiamua kufanya jambo lako inawekana bila shida tuanze kusave pesa sasa kwa ajili ya kupendezesha nyumba zetu.

















Kwanza napenda kuwashukuru kwa msg zenu za maswali na ushauri kila mlichoniambia nitakifania kazi.

Kwa mawasiliano zaidi email me:hmdecoration2010.blogspot.com