ORCA DECO NDIO MPANGO MZIMA NENDA KAJIPATIE VITU VYA UKWELI KWA AJILI YA NYUMBA YAKO,BUDGET SIO MATUMIZI CHOP YOUR MONEY........



Hello Guys!!!! natumaini kila mtu sasa hivi yupo busy na maandalizi ya X-mass  kuandaa nguo za watoto na kufanya decoration kwa ajili ya X-mass.Any way nimependa kuwajulisha kuwa jumamosi nilikuwa Orca deco na mteja wangu kwa ajili ya kutafuta accessories na mapazia  kwa ajili ya nyumba yake.kiu  kweli Orca deco wameleta vitu vinzuri sana kuanzia  sofa,accessories na curtain na vingine vingi na bei zao za kawaida any one anaweza kununua wanavitu vingi na color tofauti tofauti kutokana na choice yako.Fika Orca deco  ujipatie maitaji ya nyumbani kwako.

Hizi ni baadhi ya vitu walivyo navyo orca deco.


Nikijaribu kumbembeleza mteja wangu curtain ambayo itafaa kwa ajili ya nyumba yake ilikuwa kazi mbaka kunikubali ila mwisho tulikubaliana na kuipenda thanks mamy.....
Nimelipenda couch ila kiu kweli linata kuwa makini sana watoto kutoka na rangi zake linata usafi wa hali ya juu,kwa wale wenye watoto watundu big noooo kuchagua rangi km hii.





Wale ambao mlikuwa mnatafuta Rugs kwa ajili ya bathroom zetu hapo ndio mwake na bei zao poa










Ukiwa na kitanda kama hichi naona mtu utakuwa utoki chumbani kwako vyote ni orca deco


Dining very classic fika Orca deco ujipatie na msimu wa X-mass

kama ninavyosema siku zote kuwa mirror ni moja ya pambo katika siting room yako au dining.hii inaleta mvuto ndani ya nyumba nimependa hii mirror sana.