Two weeks ago tuliongelea kuhusu color ya
Tangerine Tango ilivyotawala kwa mwaka huu 2012.
Leo nimewaletea color ambayo itakuwa hot hot hot next year so jiandae ku-decorate your house na Monaco Blue kwa next year.
Hii ndio color ambayo itatawala next year 2013 inaitwa Monaco Blue.I think this color is a great pick.Nimesikia sehemu kwenye vyanzo viwili vya habari tofauti tofauti kuwa color hii itatangazwa katika soko kuu la fashion,Lakini wengine ni husema kwama ni rangi ya juu katika utabiri wa fashion kwa 2013.
Bila kujali,I love this color nina uhakika itakuwa hot hot hot next year.
Ningependa Kuona mtu anachanganya rangi ya Monaco Blue na white hii inapendeza sana na kulete mvuto kwenye room.


.jpg)
