Thanks my cliet kwa kuniamia na kunikabithi kazi.
.
Sehemu ya Living Room wall ni baby pink sofa ni Brown/Red color,Rug under the coffee table ni red color na pillow color combo Curtain ni Brown light cream.huu ni mchanga nyiko wa hali yajuu
Sehemu ya Dinning:Ni Baby yellow color Dinning table and small bar ni brown color , curtain ni brown pia unaweza kuweka flower sehemu ya dirishani ili kupendezesha nyumba yako kama mm nilivyofanya.
Hii ni sehemu ya koldo la kwende besment na vumbani hii sehemu tulipaka rangi green apple pia niliweka picture ukutani ilikupendezesha nyumba.
This is me mwenye baada ya kumaliza kazi, to be honest naipenda sana kazi yangu.
all client karibuni sana pia tunatoa ushauri,
Stay Turn!!!!! vitu vizuri vinakuja usisahau kupita pita kwenye hii blog
I love u all
|Email me:hmdecoration2010@gmail.com.













