Wapenzi Leo napenda kusema kuwa mahali mtu akaapo au aishipo utajuwa alivyo kwa kuangalia upangaji wake .Hii inaitwa personality ya mtu.
Kuna vitu vya kuangalia katika kupanga nyumba yako.
Kuna vitu vya kuangalia katika kupanga nyumba yako.
- Aina ya vitu mtu apendavyo kupamba kuweka rangi apendazo.
- Idadi ya vitu katika nyumba.
- Muonekano wa vitu katika nyumba.
- Sehemu ya kuweka ivyo vitu.







