Baking soda ni unga ambao unatumika kupikia chakula km cake ,maandazi,visheti, nakadhalika.
Kwa upande mwingine hii banking soda utumika kwa kazi nyingi tofauti tofuati.
Kazi ya kwanza:
Kwa upande mwingine hii banking soda utumika kwa kazi nyingi tofauti tofuati.
Kazi ya kwanza:
- .Friger:Weka banking soda kwenye friger inasaidia kukata harufu ya mbaya na kufanya kunukia fresh.pia unaweza kuweka sehemu yoyote ndani ya nyumba kwa ajili ya kukata harufu.
- Tile floor: unachotakiwa ni ku-add 1/2 cup baking soda kwenye ndoo ya maji moto kisha mop baada ya hapo utaona tile zako safi na zinangaa.
- Car:mix 1/4 ya baking soda na maji ya moto kisha tumia kifaa chakusafishia,unaweza kusafisha madirisha,matairi,viti na carpet za kiguuni.
- Coffeemaker,microwave:mix 1/4 ya baking soda na warm.water.
- Silk,Bath tab vyote unaweza kusafisha kwa baking soda.

