Hii ni board ambayo inaonyesha jinsi ya kuchagua accessories kwa ajili ya dining room.
Kama mwenzi umepita niliwai kupost jinsi ya kupangilia vitu katika room,napenda kukumbusha usije kufanya makosa katika uchaguzi wala usifanye haraka kwenye maamuzi yako fikilia mala mbili au jaribu kumshirikisha mtu wa decoration katika kuchagua accessories kwa ajili ya nyumba yako.Mapambo ni ubunifu pia ni kalama mtu upewa na mungu.
Hiki ni chumba cha kisasa, je umekionaje ni ki nzuri?you can see jinsi board ilivyokuwa inawasilisha katika dining room ni nzuri na kuvutia.kumbuka kuwa mwangalifu wakati wa kuchagua accessories maana ndio zitakazoleta muonekano katika room yako na kufanya kuwa ya kisasa.
It's good when you think of making a decoration in your house counsel and talented designers of interior decoration,we can help you to Create a home you love!
please contact with me by email: hmdecoration2010@gmail.com.