Helo my pipo!!Kwanza namshukuru mungu kwa kunifanya kupenda hii kazi kiukweli hii kazi ipo ndani ya damu yangu sometime nikifika kwa mtu natamani mawazo yangu niamishie kwenye kichwa chake ili akubaliena na uchaguzi wangu wa kumpambia nyumba yake, ila nashukuru sana wateja wangu mnakubali ingawa natumia nguvu sana kuwa convince kukubaliana na mawazo yangu na kuipenda kazi yangu.
Napenda kuonyesha moja ya kazi niliyofanya ya ku-decorate nyumba ya mteja wangu.Kwanza yeye ni mpenzi wa color ya Brown so kama tunavyojuwa kuwa color ya Brown ndugu yake ni cream,Nilishauri kuwa tununue ferniture za Brown na ukutani kupakwe color ya cream ili kufanya ile Brown kuonekana.Nashukuru tulifanikisha na kazi ili kwenda vizuri sana na mteja wangu kupenda hii mix
Asante Mteja wangu kwa kukubali kuweka picha za nyumba yako kwenye web site.
Napenda kuwambia wadau wangu kuwa kupamba nyumba yako usisubiri pesa zote kwa pupa unapo pata wewe nunua kimoja kimoja weka ndani mwisho wa siku unakuta umekamilisha vitu vyote.
Sorry wadau pictures sio nzuri sana kutokana upande mmoja kuingiza mwanga wa jua ndani.
Kwa upande wa njee muonekano wake greenish imekubali na kuzingatiwa
Upande wa Siting Room
Upande wa Dining Room
Curtain Design Tulifanya simple na nyepesi kuruhusu hewa safi kuingia ndani ya nyumba.
Sio siri nilichoka sana kama mnavyoona kwenye hii pic maana sinaga mpiga picha na mteja wangu sio mzuri kwenye picture km alivyoniambia mwenye mikono inamtetemeka ....lol..