MWANAMKE NA NYUMBA TOLK SHOW LIVE....Never miss Wadau

   Ujumbe: Umetunzwa nawe tunza mtoto wa mwanamke mwenzio...

Kwa mala ya kwanza mwanamke na Nyumba inawaletea kitu cha kujipa raha wadada na wamama,hii itakuwa ni kufundwa mambo ya chumbani, Watakuwepo makungwi  wenye uzoefu na mambo ya chumbani hii sio kitu cha kukosa tukutane  tahere 21/10/2012 ili tukajipe raha.

 

Vazi la siku hiyo ni dira, mwanamke uvae ujimwaye mwaye maana rusha roho tu ndio zitatawala..hehe heiya chezea supu ya mboga lazima uinywe..

 

Kiingilio ni shs 30,000 utapata na dira (dira lako ambalo ndio sare yetu ndio ticket yako hakuna ticket).kutakuwa na snacks, uji wa kungu, uji wa nazi,soda na maji kama wewe ni mlevi beba ulevi wako uje kukupa raha..hehe heiya

Karibu wewe, mwambie wifi yako, na shosti wako unaambiwa uzuri wa mwanamke kujiamini upo hapo.....

 

Malipo kabla ya Tarehe 19/10/2012

Kwa mawasiliano zaidi : .

Rosemarry:0717-019320

BBM:23A0C2B4