Wadau kwa wale wanaopenda kuweka wall paper kwenye nyumba zao ni vizuri kuchagua wallpaper kutokana na rangi ya wall yako na vifaa vya ndani kwako,kumbuka wall paper unaweza kuweka sehemu yoyote upendayo ,living room,bed room,toilet na kids room hizi ni sample za wall paper ambazo zinapatikana hapa hapa Dar es salaam,Kama utakuwa unataka tuwasiliane kwa maelezo zaidi.
 |
| Hii design ya wall paper kwa ajili ya vyumba vya watoto ni nzuri inapendeza sana sio lazima kuweka pande zote za ukuta, una weza kuweka style ya juu au upande mmoja wa wall. |
 |
| Hii design za wallpaper kutoka na color zake ni nzuri kwa kudecorate kwenye living room,corridor na toilet au bedroom. |
Mawasiliano email me: hmdecoration2010@blogspot.com