Tu pia macho na style za nyumbani kidogo mpenda kwao sio mtumwa.







Wenzetu zanzibar bado wanadumisha style za nyumba mbaka sasa ukienda utaona bado wanakumbuku za kale kama magofu na milango.


Hii vinyago km hivi  unawezakupata kupata maeneo ya mwenge kwa bei poa zaidi.