Wadau mshumaa ina kazi nyingi Katika nyumba Zenu, pia ni moja ya pambo.Ila kwa msimu huu wa christmas nenda dukani nunua mishumaa yako yenye shepu tofauti tofauti na weka kwenye sahani yako nzuri au nunua zile za mapambo tupia na mauwa yako kwenye sahani yako utakuwa umefanya pambo lako la nyumba , Ukifanikisha hivyo unaweza kupamba kwenye coffe table yako,dining table ,kitchen,bathroom na chini ya Christmas tree.Ni ubunifu wako tuu, unaweza kupata mishuma mizuri Mr price,Orca deco na shoppez plaza.!!!!!enjoy the season
j
















