18 Ideas jinsi ya kufanya Christmas dining table Kuwa festive look.

It is christmass season,it is time kuwa na familia yako pamoja.Nikipindi ambacho watu wako busy na kufanya maandalizi ya sikukuu kununua nguo za watoto nakujuwa watavaa nini watakula nini siku ya christmas.

Basi ukiwa kama host wa family ni vema kuanda chakula kwa ajili ya family na friends zako,kabla kuandaa chakula ni vizuri kufanya Dining table Festive look.
cover table yako na white piece of table cloth or any color kutokana na jinsi ulivyo pamba for christmas,napkins,table mat and other table dornments.kwenye dining table yako unaweza kuweka small christmas tree au flower kwenye vessel or plate ili kuonyesha it is christmass season,if u can ila sio lazima sana.Two glass vessels upande katika tree to containg colored balls.pia bila kusahau candles zenye golden or colored kwenye holder,hii itapendezesha dining table yako na kufanya mvuto zaidi,Bila kusahau ku-set sahani zako za chakula vizuri,spoons na forks.

Hii ni one of ideas jinsi ya ku-set na kupamba dining table yako.