Jinsi ya kupamba bafuni lako


Hii napenda kurudia tena na kusisitiza kuhusu toilet kuwa panahiji decoration kama sehemu nyingine.Toilet ni sehemu ambayo kila mmoja wetu ni lazima aende kwa mahitaji ya kibinadamu, Wengi wetu tunazarau toilet na kufanya ni sehemu ya kutolea uchafu .Ila kiu kweli toilet ni sehemu ya kufanyiwa usafi kuliko sehemu nyingine yoyote,pili ni sehemu kubwa ya ku mpima mtu usafi wake.Tuna vyojenga nyumba zetu naomba tuweke Room ya toilet kubwa kidogo ya kutosha hii itakusaidia wakati wa decoration room ikiwa na nafasi.

Toilet kuna pendeza kukiwa kukavu bila ya kuwa na majimaji kwenye sakafu,pili ni sehemu yetu kubwa ambayo tunafanyia starehe.Ni vizuri tukapamba toilet zetu kwa kuweka Flower.Toilet paper,mitungi,picha za ukutani na magazen,backet, pia kuweka capeti kama toilet yako na bafu vimetenganishwa hii ni moja ya decoration nzuri sana inaleta mvuto na usafi.pia unaweza kuweka mishumaa yenye harufu nzuri hii inasaidia kuweka harufu nzuri na kukata harufu mbaya,Wakati wakujisaidia una washa 5min before ya kazi.Pia ni decoration nzuri kwa toilet.


Hii ni idea moja wapo jinsi ya kutengeneza toile yako kuwa smart na kuvutia.









Wadau kila kitu unachokiona hapo Tanzania pia vinapatika kwangi make your decision now!!!!

Email me: hmdecoration2010.gmail.com