Living room ni room ambayo tunatakiwa kutulia sana wakati tunafanya maamuzi ya kutaka kufanya decoration.
Pili ni sehemu ambayo wageni wetu na familia ufikia ni sehemu ambayo wengi wetu upumzika kwa mahongezi.Unaweza kudecorate living room yako kwa colorfull kwa style or minimal.
Post za leo itakuonyesha jinsi ya kuanda decoration ya nyumba yako.chagua choice nzuri kwa mapendeko zako.
Kuna tips 6 kwa ajiri ya living room desgn ni style ambazo zipo pafectly and different.Ni vizuri kupamba nyumba kutokana na mazingira yanayo kuzunguka kwenye nyumba yako.
Kuwa mmoja wa design ya nyumba yako mwenyewe!!!Enjoy decoration
1. Use a great paint color.
2. Have an open space.![]() | ||||
Ni vizuri kuwa na space kwenye nyumba yako hii itakusaidia kufanya arrangement nzuri.
Pili ni muhimu kuakikisha kwamba mtu anaweza kuzunguka mahali bila kikwanzo cha kitu chochote hii itasaidia ata wakati wa kufanya usafi bila kukwamishwa na kitu.
|
3. Choose furniture.
Chagua samani ya vitu vyako kutokana na mahitaj yako.living room yako inawezakuwa ya design ya tofauti km pembe nne,pembe tatu au duara akikisha unanunua vitu vitakavyo endana na style ya livingroom, kwa majaribio unaweza kuweka pembeni na kuangalia kama inapendeza.
4. Use dramatic lighting.

Ni muhimu kuwa na light kwenye living room yako hii itakusaidia kuonyesha unathifu katika room,vile vile unaweza kuweka lamp kwenye kona ya room au mezani hii ni moja ya decoration ni vizuri usiweke taa karibu na televishen sababu televishion tayari ina nuru.
5.Create a bold accent wall.
![]() | |
Living room yako itakuwa dramatic kama utachagua rangi ya ukuta nzuri.Kapa rangi ya nyumba yako ilingane vitu vya ndani,kama wewe unatumia rangi baridi ,unaweza kuchagua teal kali au kijani kwa kutazama ukuta wako.Unawezakutumia manjano au rangi ya machungwa kama room yako inarangi ya joto.unaweza kutumia nyekundu,machungwa au kijivu kwa ajili ya kuangalia,rangi ya kijani na kahawia kwa kuangalia utamaduni zaidi.6. Look into details and accessorize.![]() Unaweza kuongezea baadhi ya mapambo katika nyumba yako ya kuishi ,casings dirisha,dari na moldings,na mengine mengi.Pili unaweza pia kuongeza baadhi ya vifaa kama mimea.uchoraji,vases,vyungu pembeni au mezani na vingine vingi.ila usijekuweka vingi sana inategemeana na ukubwa living room yako,CHAGUA UBUNIFU KUANGALIA TAA AMBAYO INAWEZA KUONGEZA UZURI WA CHUMBA CHAKO,Unaweza pia kuweka makusanyo yako katika kabati curin,kutupia mto katika sofa ,rug au carpet sakafuni na maua safi juu ya meza.unaweza kuweka meza ya kahawa pembeni kuongeza mvuto. |



