Jinsi ya kuRemove Wallpaper na Vinegar

Aksante sana kwa kuweka hii topic.
Mi ni mmoja wa wadau wa blog hii.
Napenda sana wall papers ila kuna mambo ya msingi ambayo nahitaji kuelewa kabla ya kuweka.Kwanza ninaishi kwenye nyumba ya kupanga,je nitakapo amua kuweka wall papers na ninapo taka kutoa ili niache nyumba ya watu kama nilivyo ikuta inakuwaje?Nina maanisha ukuta unakua ktkt hali gani?


>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>


Asante Mdau kwa swali lako im happy kuona watu wapo Interested.


Wadau wangu naomba msiogobe kubandika wallpaper kwa kuhofia kuaribu ukuta wa nyumba.
Huwezi kuaribu ukuta wa nyumba kwa kubandika wallpaper kuna njia rahisi ambayo itakusaidia wakati utakapokuwa umechoka style au unapotaka kuama kwenye nyumba.



Jinsi ya kuremove wallpaper

  1. Changanya vinegar robo kikombe na lita moja ya maji ya moto,Tumia sponge au Spray bottle kusambaza sehemu unayotaka kubandua.
  2. Subiri dakika 5 adi 8 kwa ajili ya gundi kuoana kisawa sawa kisha tumia mpapuro wa rangi kuanza kubandua kutoa,anzia kwenye coner ya wallpaper ambako imeungwa kisha endelea na sehemu nyingine.
  3. Ukisha bandua wallpaper yote chukua nguo ili uwanze kufuta mabaki ya dungi kwenye ukuta fanya taratibu mbaka umalize.
                            Hii ni njia simple na easy kuremove wallpaper katika ukuta wako.


Mawasiliano email me hmdecoration2010@gmail.com