Jinsi ya kuchagua Mapazia ya nyumba yako.

Mapazia ni kitu kimoja wapi ambacho kina chukuwa nafasi kubwa katika decoration,Kama nyumba haitakuwa na mapazia basi tunasema hiyo nyumba bado haijakamilika.Mapazia ni moja ya zana ya upambaji ambayo unatakiwa kuwa makini sana katika kuchagua pazia la nyumba yako.siku zote tunaambiwa kuwa unapokwenda kununua pazia akikisha unapima vizuri dirisha  lako ili kujuwa urefu na upana .Hii itamsaidia ata muuzaji kujuwa ni ukubwa gani akushauri kutoka na style utakayo chagua.

Ningependa kushauri kuwa unapokwenda kununua pazia akikisha unajuwa ukubwa na upana wa dirisha rako,pili ni rangi gani utapenda kuweka katika nyumba yako,sababu wengi wetu tunapenda kununua pazia ilimradi umependa bila kuzingatia nyumba yako ina vitu gani ndani ambavyo vita pendezea. Nizuri kama nyumba yako ukuta wako ni light color basi weka pazia ambalo ni bark color ili kuleta mvuto ndani ya nyumba,kama wewe umepaka rangi za dark basi weka pazia ambalo ni light color na yenye mvuto ili kutela mwanga ndani ya nyumba



 Hii ni rangi ya calot orange ilinifanya kuchagua hii rangi kutoka na sofa za ndani na ukuta wake,niliweka mchanganyiko huu sababu ni fashion pia nyumba inakuwa shaining
Hii ni rangi nzuri kwa nyumba zenye ukuta mweupe au light cream inasaidia kufanya nyumba kuonekana.



 Purpel ni rangi nzuri ata ukichanganya na  pink inakuja pia ni nzuri ata  kwa sitting room, ni wewe  jinsi ya kucheza na rangi.
      Hii ndio colorful cartains ni nzuri kwa nyumba yako kwa wale wanaopenda macolors.









 Hii ni aina ya curtain rods ambazo zipo zaina tofauti tofauti kutoka na choice yako unawezakupata Dolson,home shopping center na orca deco.


NB:

 kwa wale wanao ishi kwenye mikoa yenye joto ni vizuri kutumia pazia nyepesi ili kuruhusu hewa ndani ya nyumba na mwanga,na wale wanaotoka kwenye mikoa ya baridi ni vizuri kutumia pazia nzito ili kuifadhi joto ndani ya nyumba, pia inasaidia  kuto ruhusu ubadili kuingia ndani.