PAMBA NYUMBA YAKO KWA VITU VYA CHUMA.


Hii ni Kwa wadau wanaopenda vitanda vya chuma.Ni style  nzuri sana hunaweza kuchukuwa sample na kumpelekea fundi hakutengeneze,  mafundi ni wengi sana sasa hivi wanaotengeneza vitu vya chuma.


Mda mrefu tumekuwa tukijuwa kuwa chuma ni chombo ambacho kinatumika kwa ujenzi tu.Ila kwa sasa hivi chuma kimekuwa ni kitu ambacho unaweza kutumia kwa  decoration,  kutengeneza vitu vya ndani kama makochi,kitanda,kioo,design teble,accesories act. Ukipata fundi mzuri ambaye anajuwa kusuka nondo vizuri unaweza kukubaliana na mimi kuwa unawezakupata kitu kizuri sana. The choice is your chukuwa sample ya design na mpeleke fundi wako .badilisha mtazamo wa nyumba yako na chumba chako sasa.


Hii style ni nzuri nimependa jinsi walivyosuka chuma na jinsi kilivyodecoratiwa  kinaonyesha kabisa ni chumba cha mwanamke,  kimewekwa rangi ambazo ni hot color kaweka  na pollows ili kuweka mvuto kwenye kitanda.........very hot hot !!





Hizi ni design ni nzuri za vitanda na vinaleta mvuto kulala.



Design ya chuma inapendeza ata kwenye garden yako  kama unavyoona   imependeza kuweka njee kwenye garden   kwa ajili ya familia yako na wageni for lunch au dinner wakati mwingine sio lazima kulia chakula ndani dining , ukiwa na garden nzuri na space inapendeza.




Hii meza ya chuma top wameweka kioo  design yake ni nzuri  na  jinsi chuma kilivyo sukwa.





Kwenye wall yako unaweza kutengezesha vitu km hiyo sio lazima uweke picha  kwenye wall yako,   unawezakutoka kivyako na design ya peke yako na nyumba yako ikawa na mvuto zaidi.










Mawasiliano zaidi Email me :hmdecoration2010.blogspot.com