Hot Color Combo : Peacock + Chartreuse

To day nimependa kuwaonyesha Combos Favorite,Hii ni rangi nzuri  inapendwa na wengi Duniani inaitwa Gorgeously,Peacock Bluu na Citrusy.Kijani ni rangi mahili na unaweza kuita kwa majina ya Chartreuse,halzeti na Parachichi.Hii rangi imekuwa Popping up kila mahali  hivi karibuni kutokana na Hottest Runway inaonyeshwa sehemu nyingi kama Dunian kama Boutiques,Hotels Trendiest.











Hii rangi ni nzuri na unaweza kufanyia decoration nyumbani kwako kwa njia mbali mbali na sehemu tofauti tofauti.Kama wewe ni jasiri wa kufanya mahamuzi unawezakupaka rangi ukuta wako kwa kutumia hizo rangi na Kama wewe sio shujaa na hutaki kudhubutu , basi unaweza kununua accessories za hizi rangi kwa kufanya decoration kwenye nyumba yako.
Muhimu ni kuchagua  Samani ya vifaa katika rangi za hapo chini ambayo inakutengenezea picha halisi ya nyumba yako.Njia ya kufanya ni kununua Curtains ,Throw pillows,accent chairs,Lighting Fixtures.
Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo vitapendezesha nyumba yako.
I love this Color ,Siwezi kusema is my Favorite ila hii rangi inanifanya kujisikia raha sana lakini inategemeana na Curtains ambazo unazo.




Hapo juu ni baadhi ya picha za mifano ya decoration ni kama mtu kunywa juice unayopenda :Je guys mnafikiriaje mchanganyiko huu wa rangi?umependa au  umeuchukia?je ungependa uwepo kwenye nyumba yako?Tafadhali napenda kupata mawazo yako katika comment hapo chini.


Nice weekend.