.jpg)
Kuna aina nyingi za pillows nimependa hii sababu hipo ki culture zaidi unaweza ku design pillow zako kwa kitenge au kanga na zikapendeze kuliko zile za kinzungu la msingi unapo chagua kanga au kitenge changu zile zinazoenda na pazia zako,ukuta,makochi act.
 |
Nimeguswa na hii !!!!copy from 8020fashions. |
Hapa ni duka ambalo upenda kwenda kununua vitu vya mapambo ya culture kiukweli bei zao nzuri wapo mwenge km utapenda kupendezesha nyumba yako ki culture tuwasiliane.
Leo nipo kinyumbani zaidi ,Wadau mtakubaliana na mimi kuwa vitu vyote hapo juu vinapatikana hapa hapa nyumbani, Sasa kwa wale wanaopenda culture za nyumbani hapo nitakuwa nimewafikisha. Kutokana na Email zenu za maombi kuweka design za nyumbani najuwa nitakuwa nimewapatia kidogo ,Vitu vingi vya culture bei yake sio mbaya sababu ni vya nyumba unawezakupata vitu hivyo mwenge au moromoro stores.Ila ningeshauri mwenge sababu bei zake sio mbaya sana na unawezakuomba discount.