How to Decorate your living Romm on low budget.
Wadau mtakubaliana na mimi sio wote wenye uwezo wa kuwa na pesa za kufanya living room zao kuwa za kisasa zaidi.Ata kama bado haiwezekani kudecorate your living room kwa pesa kidogo basi kuna ideas ambayo itakusaidia.
Baada ya kuwa na pesa yako mkononi unaweza kubadilisha living room yako kwa kuweka nakishi kwenye makochi kwa kutumia vikoi au brackets ambayo uta cover kwenye makochi na kutupia pillows zenye kuendana na accessories za nyumbani kwako.Ni rahisi kupatikana hapa mjini karibu maduka mengi yanapatikana,kwa wale wamikoa yanye baridi nivinzuri kupata really blackets sababu zitakusaidi kujicove wakati mnawatch move au act.Kuhusu pillows kama unazo za zamani unaweza kubadilisha cover zako kwa kununua kutoka kwenye maduka like game,mr price,arca deco zinapatikana, km budget yako ndogo unawe kuingia kariakoo kutafuta kitamba ambacho kitaendana na accesories za home kwako na kushona.Vitu vyote vinapatikana kwa bei poa zaidi utajikuta umesave alot of money. Wadau mtakubaliana na mimi sio wote wenye uwezo wa kuwa na pesa za kufanya living room zao kuwa za kisasa zaidi.Ata kama bado haiwezekani kudecorate your living room kwa pesa kidogo basi kuna ideas ambayo itakusaidia.
NB:
Wadau kama ungependa kuonyesha home yako jinsi ulivyo pamba unakaribisha sana sababu kila mtu anataka kujifunza.
Tuma picha zako kwa hmdecoration2010@gmail.com





