Get ideas how to decorate your home

 Every one ana-wish kuishi kwenye nyumba nzuri  yakuvutia ila sio wote wenye uwezo huo wa kuwa na nyumba nzuri na yenye vitu vya kisasa.Sasa basi ni bora kufanya kitu kutokana na budget yako,chakufanya ni kupanga malengo yako  kununua kitu kimoja kimoja mbaka kukamilisha ingawa vitu vizuri vinachukuwa mda sana kukamilika kutokana na bei zake kuwa juu. Ushauri wangu ni bora ukanunua vitu vichache  vizuri wakati unaendelea kujipanga kununua kitu kingine. Always nasema hakuna kitu kizuri km kuishi sehemu nzuri ,kulala pazuri,sehemu ya kuanda msosi nzuri hii inawezakusababishia kupunguza safari zisizo za msingi kuamua kubaki home wakati wote sababu mazingira yanaruhusu. unaweza copy na paste hizi pic kufanya nyumba yako kuwa na muonekano wa kisasa.