
Hii ni Traditional baskets ambayo upatika africa nzima ususani Tanzania baskets ni moja ya pambo lenye mvuto ndani ya nyumba na inasaidia kuifathia vitu vingi zofauti tofauti kama vile Magazines,towels,drinks,soap,Toys za watoto pia kuwekea nguo chafu au safi. Ulaya wameweza sana kutumia ili pambo ndani ya nyumba. Ni wakati wetu kupenda vitu vya nyumba nakufanya pambo kwa matumizi tofauti tofauti .Bahati nzuri baskets zinapatikana kwa wingi bongo na kwa bei poa na design tofauti tofauti.
I remember my Grandfather alinitengenezeaga wakati wa Harusi yangu kwa ajili ya kuwekea unga I Wish I'd Known Before kama ni kitu very unique ningefanya pambo la nyumba matokeo yake niliwekea unga wa ugali ....lol...but kilikuwa kuzuri sana sana. made from Iringa.




