5 Tips Jinsi ya kusafisha friger

 Heloo my People!!!! hope weekand ilikuwa nzuri na wote tumesalimika, 

Leo nimependa kuwapa tips kidogo za jinsi ya kusafisha Friger najuwa wengi wetu tunakuwa na tatizo la kutosafisha friger mala kwa mala  na kusababisha kutoa harufu mbaya kila unapofungua friger.sababu ya vyakula vilivyo kaa mda mrefu au kuchacha. 

 

1.Zima Friger na unplug.



2.Ondoa viti vyote kutoka kwenye friji yako kama kawaida,vile vyote vimepita mda wake wa kutumika.

3.Chukuwa Baking soda 1/2 kikombe changanya na warm water.kwa ajili ya kusafishia friji.


4. Toa shelf zote nje kwa ajili ya kuosha kisha zifute vizuri kwa ajili kurudishia kwenye friji.


5.Clean drip try. hii iko chini ya friji kuwa makini sana wakati wa kuvuta kutoka nje sababu inaweza waku na maji machafu.