The color of wall is wow.................
Painting ni moja ya decoration ambayo inaweza kubadili muonekano wa chumba,Ila kuchagua the light color inaweza kuwa changamoto.Hapo ni nimeweka baadhi ya picture km ideas ya kukuongaza wakati wa kufanya maamuzi ya kuchagua color kwa ajili ya room yako.
Unapochagua rangi jambo la kwanza la kizingatia nikitugani unaenda kuweka katika hiyo room(color vitu),pia ni vizuri kuchanganya light color na color iliyopoa hii ni kwa wenye nyumba kubwa.kama room ni ndogo sipendi kushauri kuchanganya color tofauti tofauti.
Kwa ushauri zaidi hmdecoration2010@gmail.com







