Jinsi ya kusafisha choo Kwa Coke

 Je Choo chako ni kichafu na huna dawa ya kusafishia?usijali chukuwa colacola kwenye fridge........



Leo Napenda kuwa kumbusha jinsi ya kusafisha masink yetu ya chooni kwa kutumia coka cola.Najuwa nyumba nyingi za kupanga mala nyingi masink yetu yamebadilika rangi kutoka na uchafu na kutokana na material ambayo yametumika  kutengeneza sink.Basi kama unashingwa kwenda dukani kununua madawa ya kutakatisha choo, chukuwa soda yako kwenye fridge.Najuwa wengi wetu atuwezi kukosa soda kwenye fridge au dukani.

  kwa kutoa ukoko wa kwenye sink  cha kufanya unaweza kununua coka cola yako mwagia chooni kwa kuzunguka choo.Mwagia cola wakati unaenda kulala sababu mala nyingi kinakuwa akitumi acha usiku kucha coka cola hilowanishe na kisha asubuhi chukuwa brash yako anzakusafisha kwa kusugua baada ya hapo mwagia maji yako,hapo utaona choo chako kisafi cheupe na kurudia kwenye upya wake..

Take it from me, im sure utakuja kuniambia.