Kupamba nyumba yako sio lazima uwe na vitu vipya au vya kisasa Bali tumia ulivyonavyo kwa ku-update, chakufanya changanya na vile vya zamani kwa rangi tofauti tofauti .kwa mfano picha za Leo zinaonyesha jinsi ya kupamba vitu vya zamani Kama living room,dining table,kabati act.Watu wengi tunadhani kupamba nyumba zetu lazima tuwe na vitu vipya na vya bei kubwa.Tambua vitu vyako ulivyonavyo ni historia na kumbukumbu tosha na hii utaifanya nyumba yako Kuwa ya kipekee na kutofanana na wengine fanya maamuzi sasa usingoje vitu vipya.
Week and njema Wadau wangu.Enjoy!!!!!