Wapenzi ni kweli. wengi Watu at unatoa design tofauti zaidi ya kuchonga makabati ya nguo kutoka na kurithi kutokana tumezaliwa mbaka tunakuwa tumeona hivyo,ila ni kweli km unachumba kidogo pia ukaweka kabati la nguo juwa hiyo space inazidi kuwa ndogo na kupelekea kushindwa kuweka vitu vingine..Basi Ningependa kuwaonyesha design nyingine ambayo ni nzuri na ya kisasa zaidi hii itasababisha ku-save space na kufanya Chumba Kuwa na nafasi kwa ajili ya vitu vingine,ni design nzuri inapendeza na itakurahisishia nguo zako kwa kuonekana vizuri wakati wa kuchagua nguo ya kuvaa na itakufanya Kuwa msafi zaidi sababu kila kitu kitakuwa kinaonekana vizuri , ni tofauti na makabati ambayo mtu anatupia nguo na kufunga mlango wa kabati.Ni vizuri fundi ajekupima nafasi ya Chumba kumwambia wewe unataka design gani kwa ajili shelfu na sehemu ya ku-kutundika nguo.
NB hii design wengi watu tunafikilia Kuwa ni ya maduka ya nguo la hasha sio kweli hii style unaweza kufanya ata kwenye bed room yako au ya watoto na itapendeza sana sababu ni nzuri na itakufanya arrangement vizuri ya nguo na accessories.
kwa mawasiliano email me:
hmdecoration2010@gmail.com







