Special Valentine’s Day Decoration on the Bedroom
Tarehe 14 February ni siku ya wapendanao Duniani,Jaribu kumvutia mpenzi wako,kwa kupamba bedroom yako kwa kuweka red rose flower na mapambo mengine bila kusahau zawadi hii itamletea hisia za kimapenzi kwa wawili ambao wapo kwenye mahusiano.
Beautify the Dinner Table on Valentine’s Day
siku ya valentine ni siku ya wapendanao basi ni vizuri kuonyesha mapenzi kwa familia yako kwa kuwapikia chakula kizuri bila kusahau ku decorate dining table yako kwa vitu vya red kama vile mishumaa,Red roses,table cloth,table napkins,vaso flowers ila unaweza kuchanganya color nyingine unayopenda ila kumbuka siku hiyo red color ndio itakuwa inawakilisha upendo bila red hakuna upendo.
!!!!!!!Nawatakia maandalizi mema ya valentaine day.!!!!!!
Kwa msaada zaidi email me: hmdecoration2010@gmail.com
Kwa msaada zaidi email me: hmdecoration2010@gmail.com








