Traditional Style with African.

 Hii african style sithani km ni shida sana kupatika hapa tanzania  vitu vyote hapo chini vinapatikana  ni kiasi cha kwenda kwa fundi tena wale home made  and cheap waka kutengenezea kitu kizuri km hiyo table,chair,bench.kwa upande wa hizo basket tutakubalia kuwa kuna wamama wengi wajasiliamali wanatengeneza na wanauza bei poa sana unaweza kununua kwa ajili ya decoration ya nyumbani  kwako unachotakiwa ni kucheza na style unayopenda.






Lovely curtains and plants unawezakufanya kwenye balcony   yako  sababu kila kitu kinapatika inch.hii ni outdoor decoration.




Love this !!! hii ni  african Basket shelving unit unaweza kuweka kwenye living room yako au  kids room ni style nzuri na kupendeza.

 


Hii african style unaweza kupamba coffee table yako kwa kutumia basket  ambayo umeweka balls zenye color ya vitu vyako vya ndani.

 


wow!!!Decorative kwa indoor use only unaweza kuweka flower au plan kwenye kona inapendeza kama itapewa space ya kuoneka vizuri.



  Hivi vikapu ni vizuri kwa kuweka nyumbani kwako kama decoration pia unaweza kuifadhia cookbooks,magazeti,Bathroom kuweka  towels,,vitunguu na viazi