Pantone color of the year 2013


Kama kawaida wapenzi wa blog mwaka huu tumeweza kujuwa color ambayo itatawala kwa mwaka mzima wa 2013 ambayo ni Pantone color for the year.Basi Kama mwaka Jana ukwenda na color ya 2012 basi mwaka huu jaribu kubadilisha color angalau accessories kama vile pillows,vases,rugs,carpets,candle holders.hii itafanya nyumba yako Kuwa updated na ya kisasa zaidi na kwendana na mambo ya kidunia, pia itakufanya kupenda nyumba yako kila uingiapo na utakapo.