MWIMBAJI WA TAARAB MARIAM KHAMIS AFARIKI DUNIA
Mwimbaji Taarab MARIAM KHAMIS katika picha amefariki dunia wakati wa kujifungua hospitali ya Muhimbili Ameacha katoto kachanga, Mariam ni star wa nyimbo mbalimbali kama 'Paka Mapepe, Uzushi wenu haunitii doa na sidhuriki na lawama' na alifanya kazi na Znz modern Taarab, Five stars na baadae kuhamia TOT ambako ndipo alipokua akifanyia kazi mpaka umauti unamkuta. Mungu ampumzishe kwa amani.