Decorate Your Home with Bamboo Ideas!














Je ungependa kubadilisha nyumba yako na bamboo ?Basi hii ndio kipindi chake,Bamboo ni mmea ambao inapatikana mkoa iringa na nchi za asia.Unaweza kutengenezesha vitu vingi vya  decoration kwa kutumia bamboo.Pia unaweza kufanya kitu kizuri na ku-decorate kwa coast ndogo sana na nyumba yako ikapendeza na kuonekana ya kisasa .Kuna design nyingi za makochi ya kutumia Bamboo.Kama ungependa ku-save cost ya  kwenda kununua makochi basi pendezesha nyumba yako kwa makochi ya mianzi.
Unaweza kupata accessories za bamboo sehemu  tofauti tofauti kwa dar ni Mbuyuni/kinondoni,na masaki .