TANGAZO ....TANGAZO ...............

HOSTEL HOSTEL. Hostel inapatikana maeneo ya kurasini polisi ufundi.inafaa kwa wanafunzi wa DUCE,TIA,DIIPLOMASIA,TUMAINI-Kurasini, CBE, IFM na vyuo vingine.NI NYUMBA MPYA..Ni dakika moja tuu kutoka kituoni.. Ina maji, umeme, ulinzi, stationary, mfanya usafi, min shop,Huduma za kufuliwa kwa atakaehitaji,huduma za chakula kwa atakaehitaji.BEI NI RAHISI MNOOO.
Kwa mawasiliano piga number  0764 242727 .


Kwa ndani Hostel muonekano wake.

Kwa Njee Muonekano wake.