Mara nyingi mtu unapo ongelea kuhusu project ya kudecorate nyumba yako,probably utakuwa umetafuta magazine pages,bookmarking websites na kuchagua rangi yoyote ambayo wewe unapenda.This is a great first step,but often that collection of inspiration gets lost in a pocket or throw away.The best way to figure out decorate is to create a mood board ambayo itakupa ideas ya decoration. Mood board ni njia rahisi ambayo itakusaidia jinsi ya kuchagua rangi kudecorate nyumba yako mpya.Jaribu kukusanya clippings za rangi tofauti tofauti kwenye board,then linganisha hizo color ili kupata muonekano wa decoration kwa nyumba yako.then sample ya piace za vitamba weka kwenye board yako kuona ni rangi gani itakufa kwa ajili ya decoration yako kwa ujumla uku ukifikiria na rangi ya ukuta wako.you will see your dream room start coming together.
 |
| Mood Board kwa ajili ya living Room hii inaonyesha vitu ambavyo unatakiwa kuwa navyo kwenye living room yako kwa ajili ya decoration. |
Mood Board kwa ajili ya living Room yako
Mood Board kwa ajili ya room ya mtoto wako special kwa baby girl.
Mood Board kwa ajili ya living Room yako ni nzuri kwa singles guys sababu sofa nyeupe inataka usafi pili inatakiwa usiwe na familia kubwa but is nice.
Papo color ni rangi ya mtu anayejiamini ni rangi nzuri ukiweza kumix kama unavyoona, inapendeza sana kwa living Room na bed room pia.Ni vizuri kama wall yako itakuwa na rangi yeupe hii italeta mvuto zaidi.
Mood Board kwa ajili ya living Room yako hii kwa wale wanaopenda rangi za kupoa zaidi ni nzuri ata kwa bedroom
Mood Board kwa ajili ya Kitchen yako
Mood Board kwa ajili ya Bedroom ni rangi zenye mvuto na nzuri kuangalia kwa macho.