2012 COLOR OF THE YEAR BYEEE - TANGERINE TANGO









Kama ilivyotajwa hapo awali kuwa tangerine Tango ndio rangi ya mwaka 2012 hii ndio rangi ambayo inakwenda kutufungia mwaka.Hii rangi ni  kali na hajabu unawezakuona jinsi gani hii rangi inavyowezakuleta mvuto katika nyumba yako.Tangerine tango ni versatile as the more bland colors ndio maana wenye nyumba wengi wamependa ku-stick kwenye rangi hii.you can use this mazing color both as a focal point of the room,to brighten an otherwise dark area,Tangerine Tango unaweku decorate even kitchen,toilet and bedroom ya watoto.

Most people will probably choose adding tangerine tango is small amounts,kwa mara ya kwanza kuanzia unawezakuchanganganya na nyeupe, nyeusi, kahawia, Gray, bluu, kijani, nyekundu, njano na kitu chochote kufanya majaribio ya vitu vya ndani,hii rangi ina kwenda rangi nyingi kama