Mixing  Color for your home, Mimi nimependa wewe je?









Unapochagua vitu vya nyumba yako jaribu kuzingatia na space ya room .ni vizuri kuwa na vitu vichache kwenye living room yako sababu vitaoneka kiurahisi na mvuto,kuliko kujaza vitu vingi bila ya mpangilio hii itaonyesha mvurugano na uchafu katika nyumba.vile vile itakuwezesha  kufanya usafi kwa kuzunguka room.

Ni vizuri kuchagua rangi ambayo ni dream yako  hii itakufanya kupenda nyumba yako na kuipamba vile upendavyo.