Naomba Msaada wa Wallpaper
Hello Dada D.Bomba
Mimi ni mtu moja ambaye nafuatilia sana Blog yako ya decoration ,nashukuru ninajifunza mengi jinsi ya kubadilisha nyumba yangu sasa nimevutiwa sana hizo wallpaper yani umenifanya nawaza sana,napenda kubadilisha toilet yangu na mimi niweke wallpaper je hizo half wallpaper zinakuwaje maana umenichanganya hapo je wawezakutupa sample?please husituchoke na maswali msaada wako ni muhimu sana kwangu
Thanks for your time D,Bomba
Stay Blessed.
Mama Isabela
Email yangu kapuni please :
............................................................................................................................................................
Thanks mama Isabela kwa email yako nipo kwa ajili yenu maana bila nyinyi Blog haitakuwa na maana.Na jibu kwa faida ya wote.
Wallpaper kama wallpaper ni nzuri kwa decoration.
Wallpaper za bafuni zipo katika rangi mbalimbali na nafuu kutoka na bugjet yako na ukubwa wa sehemu yenyewe.unapoenda kuchagua wallpaper unapaswa kufikiria ni aina gani ya decoration unapenda kutokana na bafu lako..bafuni ni sehemu ya unyevunyevu sana hivyo unapaswa kutambua ukutawako kabla ya kufanya mahamuzi ili kujuwa kama uta himili hali hiyo.ni vizuri kuchukuwa baadhi ya sample ili kukusaidia kwenye uamuzi wako wa mwisho.
Kimsingi bafuni ni moja ya vyumba katika nyumba lakini ni chumba ambacho unaweza kufanya majaribio ya rangi kama ni nzuri, unaweza kujaribu wallpaper katika ukuta wako kwa design yako kwa favorite au mfano.kama toilet yako ni chumba tofauti unawezakufikiria wallapepr chumba hicho tu.
Kwa bafuni upande mwingine unaweza kutumia light colored wallpaper kama Beigu au cream.hizi rangi inaweza kufanya kazi nzuri kufungua nafsi yako.
Huu ndio muonekano wa wallpaper Bafuni.

Hii ndio half design ya wallpaper.
Nimegunduwa kuwa kuna wallpaper za aina mbali mbali na miundo tofauti tofauti,kwa wale ambao wanabafu dogo ni vizuri kujaribu wallpaper upande moja wa ukuta ili kujuwa kama kuna unyevunyevu.unachoweza kufanya ni loanisha sehemu ya nyuma ya kuta kwa maji kujuwa kama ni kavu.Unapaswa kukumbuka kwamba kutoa nafasi ya kutosha kabla ya kufunga vifaa vyovyote kwa bafu lako kama vile picha na vioo.