Ideas jinsi wall paper inavyoleta mvuto katika rooms.
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
Wadau wangu kwa mala nyingine napenda kuelezea matumizi ya wallpaper.nashukuru napata email nyingi na msg kutoka kwenye facebook kuomba ushari kuhusu kutumia wallpaper kwenye nyumba zetu.Pia kupenda kuona sample jinsi ya wallpaper zinavyoonekana kwenye rooms.
Nina furaha kuona wengi mpo busy na kutengeneza nyumba zetu kuwa za kisasa zaidi.
Nina furaha kuona wengi mpo busy na kutengeneza nyumba zetu kuwa za kisasa zaidi.
Wallpaper unaweza kubandika sehemu yoyote upendavyo,kama vile sebureni,chumba cha kulala,chumba cha wageni,chumba cha watoto,jikoni na chooni ila kwa upande wa chooni usije kubandika mbaka chini sababu wallpaper haitaki maji ni vizuri kubandi sehemu ya juu ambayo maji hayafiki.
Katika uchaguzi wa wall apper unatakiwa kutulia ili kujuwa unataka kitu cha namna gani kitoke kwenye nyumba yako.
Vitu vya kuzingatia katika uchaguzi.
Vitu vya kuzingatia katika uchaguzi.
- kabla kuamua kuchagua wallapper ni vizuri kujuwa ukuta wako utaendana na wallpper ya rangi gani na maua gani,mistari etc, hii ni kwa wale wanaobandika wall paper upande moja kama decoration,kwa wale wanaobandika nyumba nzima sio shida sana.
- unavyochagua wallpaper ni vizuri ukachagua ambayo itaendana na vitu vyako vya ndani kama pillows,sofa,curtain na zulia etc, ili kuleta mvuto katika nyumba yako.Ni vizuri kuchagua rangi ambazo zinaelewana ilikuleta mvuto katika nyumba.
- Kabla ya kuchagua wallpaper ni vizuri kujuwa ukuta unaoenda kubandika wallpaper unamita ngapi ili utakapofika dukani itamsaidia design au muuza zaji kujuwa unatakiwa kununua mita ngapi.
Nawatakia weekend njema!!!!
Mawasiliano email me:hmdecoration2010@gmail.com
















