Islamic Interior Design


Hellow wadau wangu karibu tena kwenye Arabic design ,Iam gland kupata email zenu  kuwa wangependa kuona arabic design ili waweze kutengeneza nyumba zao ili ziwe na muonekano tofauti.
Fashion ya kuweka pillows kwenye sakafu inapendeza sana hapa kwetu utumika  kwenye sherehe kama kibao kata,kufanya kisomo na etc.hii style imekuwa very famance kwenye arabic country.Ila kwa sasa imeweza kuvuka mika kwenye nchi zingine.Pillow sakafuni  ni mapambo ya mda mrefu imekuwa ikitumika katika nyumba za karne na karne.Ila kwa nchi za arabic ni kawaida kuweka pillows kwenye floor.

Kiukweli sio rahisi wengi wetu kuweka hii style sababu tumezoea kuwa kila nyumba kutumia sofa na kila nyumba utakayo kwenda utakuta sofa na kama utakuta arabic style ni kwa waharabu wenyewe au mtu anakuwa na sitting room mbili kwahiyo moja anafanya ya kawaida na nyingine ya kiarabu.
hii style ni nzuri sana imetokana na  ustaarabu wa kale wa kiaarabu, ila mbaka sasa bado unaendelea na watu wanapamba kutumia arabic style.

Add caption






Kuweka pillow kubwa sakafuni ni style nzuri inasaidia ata kama mtu umechoka unaweza kujinyoosha kwa kukaa chini kwenye floor na kujisikia confotable.Wengi wetu uamini hii style ni ya islamic lakini sio kweli ata christian wanaweza kufanya hii style na kupendeza zaidi kuliko wengi wetu tufikiliavyo , wewe ni kucheza na rangi ya ukuta wako,zulia na pillows zako.

 

Jioni njema
mawasiliano email me :hmdecoration2010@gmail.com