TUPENDE NYUMBA ZETU.


lindsay-mens-living-room.jpg


lindsay-mens-sideboard.jpg

lindsay-mens-bench.jpg


lindsay-mens-dining-room.jpg


lindsay-mens-dresser.jpg

lindsay-mens-bedroom.jpg


Wapenzi naomba tuanze kupenda nyumba zetu kama tunavyojipenda wenyewe. Asilimia kubwa ya maisha yetu ni nyumba na ndio sehemu peke unaweza kupumzika. Kama utapendezesha nyumba yako na kuvutia sidhani kama  mtu utakuwa na safari zisizo za lazima.Pili kila mnacho kiona kwenye hii Blog vinapatika hapahapa nyumbani.sema ni jinsi tu yakupangilia kutokana  na budget yako.

NB:
Kuna mdau kaomba kuona kazi zangu soon mtaziona nilizofanya na ambazo zipo kazini bado kwa sasa sina camera nzuri, Nikiwa tayari nitaziweka.

Kwa mawasiliano na ushauri :dedabo77@hotmail.com