Pata muonekano wa choo chako sasa.















Watu wengi hatujazoea kupamba chooni  kwa sababu tunafikiri kuwa chooni ni sehemu ya kwenda kujisaidia tu,mtakubaliana na  mimi kuwa wengi wetu hatuwekei kipaumbele swala la kupendezesha  vyoo vyetu.
Kipimo kikubwa cha usafi wa mtu ni chooni na jikoni naomba tuanzekupenda kupamba vyoo vyetu kuliko siting room.